''As we speak now yafaa tukuwe tumeona Eliud Langat ameresign,Chukueni Hio mwili mmepeleke Lagat Akule ,'' Kenyan Youths lecture the Broad-Based Government over the murder of Albert Ojwang and threaten to ditch Raila who is in government. Sasa tunaanza kuamini Rigathi Gachagua yeye ndio alisema hiyo squad inaongozwa na Lagat. " Hatuwezi uliwa tukiwa nje ya serikali na pia tukiuliwa tukiwa ndani ya serikali.